Explore thousands of quality products, exclusive deals, and fast delivery options tailored just for you.
FAQ
Baadhi ya bidhaa zinakuja na dhamana ya kiwanda. Muda na masharti ya warranty hutegemea aina ya bidhaa.
Ndiyo, endapo bidhaa ina tatizo la kiwandani au haikufika kama ilivyoelezwa. Refund hutolewa kulingana na masharti ya kurudisha bidhaa.
Wasiliana nasi mara moja ukitoa picha au video ya tatizo. Tutakupa maelekezo kuhusu kurudisha au kubadilisha bidhaa kulingana na sera zetu za refund na warranty.
Kwa kawaida, uwasilishaji huchukua siku 1ā3 kwa maeneo ya karibu na 2ā5 kwa maeneo ya mbali, kutegemea kampuni ya usafirishaji.
Ndiyo. Tunatoa usafirishaji kwa maeneo mengi nchini. Ada na muda wa kufika hutegemea eneo la mteja.
Malipo yanafanyika kupitia njia salama za mtandaoni zilizoainishwa kwenye ukurasa wa malipo. Oda hutayarishwa baada ya malipo kuthibitishwa.
Ndiyo. Bidhaa zote ni mpya, halisi (original) na kutoka kwa wazalishaji waaminifu.
Tunauza bidhaa za elektroniki kama simu, smartwatch, tablet, laptop, monitor, earphones, accessories na vifaa vingine vya kiteknolojia.