Kwa kutumia huduma zetu na kufanya manunuzi kwenye duka letu la mtandaoni, unakubali masharti na vigezo vifuatavyo:
1. Bidhaa na Bei
- Bei za bidhaa zinaweza kubadilika bila taarifa.
- Maelezo ya bidhaa hutolewa kwa usahihi kadri inavyowezekana, lakini mabadiliko yanaweza kutokea.
2. Malipo
- Malipo yote yanapaswa kukamilishwa kabla ya bidhaa kusafirishwa.
- Tunakubali njia salama za malipo kama zilivyoainishwa kwenye ukurasa wa malipo.
3. Usafirishaji na Uwasilishaji
- Bidhaa husafirishwa baada ya malipo kuthibitishwa.
- Muda wa uwasilishaji hutegemea eneo la mteja.
- Hatutawajibika kwa ucheleweshaji unaosababishwa na kampuni za usafirishaji.
4. Kurudisha Bidhaa / Refund
- Kurudisha bidhaa kunakubalika tu ikiwa bidhaa ina tatizo la kiwandani au haijafikiwa kama ilivyoelezwa.
- Mteja anatakiwa kutoa ushahidi wa dosari ndani ya muda uliopangwa.
- Refund hutolewa kulingana na sera zetu za kurejesha bidhaa.
5. Dhamana ya Bidhaa
- Baadhi ya bidhaa zina dhamana ya kiwanda.
- Dhamana inategemea aina ya bidhaa na masharti ya mtengenezaji.
6. Matumizi ya Tovuti
- Ni marufuku kutumia tovuti kwa udukuzi, ulaghai, au shughuli zozote zisizo halali.
- Taarifa binafsi unazotoa zitalindwa kwa mujibu wa sera ya faragha (Privacy Policy).
7. Mabadiliko ya Masharti
- Tuna haki ya kubadilisha masharti haya wakati wowote bila kutoa taarifa ya moja kwa moja.
- Kutumia huduma zetu baada ya mabadiliko ni sawa na kukubali masharti mapya.